Posts

Showing posts from June 4, 2017

NO TO RADICALISATION NO TO VIOLENCE EXTRIMISM.

Natujenge taifa letu Usemi tumetumia lakini kwa kweli tumesahau njia za kwetu Walituchomea nyumba wakakuchomea picha wasamehe Nikiangalia my picture kwa mirror nakuona wee Ju Damu ni nzito kuliko maji lakini mwananchi we ni mzito kuliko damu Sote ni wana wa adamu ya nn kutumiwa kumwaga damu Mayouth tumetumika kuzua vita Tumetumika kuzua rabsha Tumekuwa reduced into toothpicks na vidole sharp utadhani zimefanyiwa manicure ku pick money kwa mifuko ndo wapate ya meno Nauliza utaexpect aje mayouth washine kwa kuwapaka mafuta kwa mgongo ya chupa Walipromise kazi kwa vijana later ikakuwa kazi ni kazi Lakini si heri nusu shari kuliko shari kamili Najua believes za bright future za kureform from crime itaanza siku madrug pedi watagraduate na wafanye pedicure JAH CURE Life ya mayouth iko at stake Wamekataa kuchana nywele instead wanachana miraa ati hawaezi take stake But all in all its not our fault we do it for our lives sake Tumekataliwa manyumbani, tumekuwa watoro Wanasema...