*************** †ribu†e ***************** Kwa mwanzo wa kila utenzi kwa maisha yako ikajipa kikomo Ulienda bila kus ema ukaacha wengi mabubu speechless Tumebaki wachafu ju ya vle ulishakick the backet Sisi na happiness tumedisconnect utadhani masocket Kwa our hearts tulikupenda ulikuwa mwalimu ulitufunza kuandika words ukatucover kama bracket Safari ya mbali ulienda haukuhitaji kuwai ticket. Tunangoja communication, yale yote uliencounter tumeweka kwa docket So Ongea unipe pace Ulinifunza kutembea alone ni race Ulisema kutembea na God ni grace No matter how tall ulisema Kulook down upon ni disgrace Talking about your position Ulisema ukienda wata kureplace But hakuna anae toshea kufunga your shoe lace Wanasema Baada ya kisa mkasa baada ya chanzo kitendo Sasa wapi taylor adesign suti nzuri utavaa. Wapi capenter ushampa market ju casket itafaa Wakija kwa mazishi waseme ulikuwa mzuri, kwa society ulifaa Kwa wanasiasa itakuwa platform na watasema vle walikufahamu Watasema vle kifo chako...
Posts
Showing posts from July 23, 2017